Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

NYUMBA PAMOJA NA FREMU ZA BIASHARA ZINAUZWA

Nyumba hii ina idadi ya vyumba vitano (5) ambavyo unaweza kuvitumia kwenye matumizi yako binafsi kulingana na jinsi unavyotaka kutumia sehemu ya vyumba ivyo.
Cheta kwa Kijonjo

ipo karibu na barabara kuu ya serikari, kwaiyo inafaa sana kwa biashara pamoja na makazi ya kawaida tu ya kila siku kama kulala pamoja na huduma zingine.
Cheta kwa Kijonjo.

tayari imeisha fanyiwa wireling (mfumo wa umeme upotayari) kinachosubiliwa ni umeme kuwashwa tu basi alafu matumizi yaanze.
Cheta kwa Kijonjo frem

Kuhusu huduma ya maji ondoa shaka maana kisima kimechimbwa nyuma ya fremu/nyumba hii, pia eneo iloilo kuna huduma ya tofari, mchanga, cement, kokoto, nk.
Cheta kwa Kijonjo house

Nyumba hii au frem hii, ipo kijiji cha Kazole kitongoji cha Cheta kata ya Vikindu wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. 

Bei ni tsh 24,000,000/- (millions ishirini na nne) pia mazungumzo yapo.

Mawasiliano:
0659 91 9292

UNAWAZO LA KUANZISHA BIASHARA YAKO BINAFSI?

Mpenzi msomaji wa makala hii, napenda nikwambie kitu kwamba siku izi watu wengi wanapenda kuanzisha biashara zao binafsi uku lengo lao kuu nikuachana na kuajiliwa kisha wajiajiri wenyewe na kujipatia kipato kupitia biashara zao walizo zianzisha.

Biashara za kufanya ziponyingi sana hapa duniani,ambazo ukizisimamia vizuri zinakutimizia marengo yako.
Mini Shop_Cheta kwa wakala_Mutalemwa

Mbali ya kwamba biashara nyingi zenye faida ya haraka ni zile biashara ambazo zina madhara makubwa kwa afya wa wanadamu mfano waweza kuwa Sigara, Pombe, madawa ya kulevya nk.

Ila zipo biashara ambazo nazo zinakuwa na faida japo kuwa inapatikana taratibu na uchukua mda mrefu kidogo kuonekana tofauti na biasha nilizo tangulia kuzitaja hapo juu.

Biashara izo ni pamoja na Unga wa Sembe, Sukari, mafuta ya kula, Pipi, jojo, soda, maji, madaftari, karamu, nk. Sasa basi, ili uweze kufanikiwa kwenye biashara yako yoyote ile utakayokuwa umeichagua kuianzisha unatakiwa kuwa na mipango mazubuti juu ya usimamizi na uendeshaji wa biashara yako.
Mini Shop+Cheta+kwa wakala+Mutalemwa

Mipango iyo nipamoja na kujua namna ya kutenganisha faida na pesa ya mtaji, kuweza kujua namna ya kuendesha mfumo mzima wa mauzo pamoja na manunuzi, kulipa mishahara nk.

Angalizo, huwezi kufanya biashara bila kumbukumbu, biashara yoyote ile inahitaji utunzaji wa kumbukumbu, usipoweza kipengele hiki basi jua kabisa wewe huwezi kufanya biashara yenye tija, bali unaweza kufanya biashara ya mazoea tu basi. Kujaribu sio kushindwa ebu anza leo uone miujiza ya biashara.

Kutoka CHETA KAZOLE kwenda VIKINDU GETINI ni 6.749Km Pekee.

Ukweli ni kwamba kutoka Vikindu Getini kwenda kijiji cha Kazole sio mbali, ni wastani wa 6.749Km au 7Km pekee kutoka Vikindu getini hadi Kazole kwenye kitongoji cha Cheta.

Ila panaonekana kuwa mbali kutokana na ubovu wa miundombinu iliyopo ikiwemo ubovu wa barabara, ukosefu wa umeme, hospital/ Zahanati nk.

 Leo naomba niupongeze uongozi wa kijiji cha Kazole kwa kuchonga Barabara yenye urefu wa wastani wa 4Km kutoka Kazole Magenge 20 hadi kitongoji cha Cheta. 

Zoezi ili lilianza juzi tarehe 21/2/18 na kumalizika jana tarehe 22/2/18.
 Kuchonga na kufunika Mashimo kwenye baadhi ya maeneo ya barabara hii kutasaidi kwa namna moja au nyingine kwa Magari yanayotoa huduma kwa abiria kutoka Vikindu mpaka Magodani. 
Maoni yangu nikwamba mmefanya vizuri kuchonga hii barabara lakini mnaonaje ikawekwa kifusi au Changarawe ili kuifanya iwe imara zaidi ili kuwaondolea adha ya usafiri wakazi wa Kazole, Cheta na Magodani kwa kipindi cha mvua kinacho karibia kuanza mwezi ujao? 

VIWANJA VINAUZWA ENEO LA PWANI VIPO ENEO LENYE MIUNDOMBINU MUHIMU

VIWANJA VINAUZWA ENEO LA PWANI VIPO ENEO LENYE MIUNDOMBINU MUHIMU

(Picha ya tangazo la kiwanja namba moja)
Kiwanja hiki kinaukubwa wa mita 25 kwa mita 40, kipo Vikindu Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani kwenye sheli ya GilGal karibu na kanisa la Roman Catholic. Bei yake ni Tsh. 15 million, tuwasiliane kupitia namba 0657 444 490/0621 104 024/0656 633 077

Ukipiga simu sema umepata tangazo kupitia Mutalemwa Blog


(Picha ya tangazo la kiwanja namba mbili)
Kiwanja hiki kina ukubwa wa mita 30(ft90) kwa mita 40(ft120), kipo  Vikindu wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani karibu na kanisa la Roman Catholic umbali wa mita 100 kutoka barabara kuu ya kwenda kusini.

Bei yake ni  Tsh.15 million, kumbuka maongezi yapo kwa kila kiwanja. Tuwasiliane kupitia namba 0657 444 490/0621 104 024/0656 633 077

FOR SALE/ NYUMBA INAUZWA TSH.75 MILLIONS, PICHA NA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA

Iyo nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, sitting room, dinning room, kitchen na stoo ya nje na choo cha ziada cha nje.

Eneo la kiwanja chake ni Futi 50 kwa futi 60 au mita 18 kwa mita 20. Nyumba tayari ina umeme, maji, ipo ndani ya fensi, kuna parking ya gari nk.

Chumba cha master kina choo chake ila vingine viwili havina lakini kuna bafu na choo cha public kwa ndani ya nyumba na pia kwa nje kuna choo pamoja na stoo.

Nyumba ipo Saku Stend mkono wa kushoto- Mbagala mbele kama unaelekea Chamazi, bei tunaanzia Tzs milion 80 ila maongezi yapo. 

Hii ndio ramani yake.Tuwasiliane kupitia namba ya simu ifuatayo 0659 91 9292

TOYOTA DUET INAUZWA TSH 5.5MILLIONS, PICHA 6 ZAIDI BOFYA HAPA

Hii ni gari aina ya Toyota Duet ambayo inauzwa kwa Tsh 5.5millions na bei inapungua.

Muonekano wa taa ya gari hii, pia gari hii iko hapa Dar es Salaam. 
Gari hii Bima imeisha na exzost yake ni ya kuchomelea 2 iko vizuri sana kiukweli. 

Muonekano wa upande wa nyuma

Itakuwa vizuri ungekuja uione na utest ipo vizurisana gari hii
Muonekano wake kwa upande

Muonekano wake ikiwa imefunguliwa mirango

Munekano wake kwa upande wa nyuma. Tuwasiliane kupitia 0659 91 9292 naitwa Mutalemwa 

STARLET INAUZWA KWA TSH 6.5MILLIONS, PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Gari hii ni aina ya Starlet, ambayo imesajiliwa kwa namba T 580 CMS kama inavyo onekana kwenye picha hapo chini. 


Bei ya gari hii iliyotajwa hapo kwenye kichwa cha habari inapungua kabisa kwa mteja ambaye yuko serious kuinunua.

Gari hii inapatikana Dar-es-Salaam, kwa yeyote mwenye kutaka kuja kuiona na kuinunua Tuwasiliane kupitia 0659 91 9292 naitwa Mutalemwa. 

LAND ROVER V6 INAUZWA KWA TSH 7MILLIONS, PICHA 3 ZAIDI BOFYA HAPA

Hii ni gari aina ya Land Rover V6, ambayo usajili wake ni T 144 BSP kama inavyo onekana kwenye picha zilizopo hapo chini.

Bei ya gari hii ni fixed  (haipungui)
Inapatikana hapa hapa jijini Dar es Salaam maeneo ya Sinza.
Ukiikosa ata hii basi jua wewe sio mtu mwenye bahati kabisa.
Basi kama unaitaka kuinunua au kuiangalia kabla ya kuinunua Tuwasiliane kupitia Tigo 0659 91 9292 

NISSAN MARCH INAUZWA TSH 4 MILLIONS, BOFYA HAPA KUJUA ZAIDI


                Picha hii ni kutoka maktaba 

Gari aina ya Nissan March, namba yake ya usajiri ni T871 BVG kama inavyo onekana kwenye picha hapo chini gari hii inapatikana Temeke Mikoroshini jijini Dar na  inauzwa.


Gari hii iko vizuri isipokuwa imeisha Insure lence pamoja na Road License, gari hii inauzwa kwa Tsh  4million ila maongezi yapo.



Na huu ni muonekano wa gari hii kwa upande, picha inayofuata hapo chini inaoneaha muonekano wa gari hii kwa upande wa mbele.

Usihofu juu ya gari hii maana muonekano wake kwenye picha sio mzuri kutokana na camera ya simu iliyotumika kupiga picha zake kuwa chini ya kiwango.

kama unataka kuiona basi Tuwasiliane kupitia Tigo namba 0659 91 9292 naitwa Mutalemwa 


TOYOTA CARRY INAUZWA, KUONA PICHA ZAIDI NA BEI YAKE BOFYA HAPA

Gari hii inapatikana Dar-es-Salaam na inauzwa Tsh 6 millions na maongezi yapo.
Gari hii haina 4 wear na pia haina matatizo yoyote iko sawa kabisa.
Unaruhusiwa kuja kuiona kisha ukaamua mwenyewe baada ya kuiona live.
Gari hii ina usajili wa namba T 475 DEV.
Na hivi ndivyo ilivyo mpaka sasa, kama unaitaka basi tuwasiliane kupitia namba ya simu ifuatayo hapo chini.
Tigo: 0659 91 9292 naitwa Mutalemwa, karibuni sana.

NYUMBA YA VYUMBA 4 INAUZWA CHAMANZI SAKU IRURU, BONYEZA HAPA KUJUA BEI YAKE

Ndugu mteja, Nyumba hii ina jumla ya vyumba 4, jiko 1, choo cha public 1 pamoja na frems 2 za maduka kwa upande wa mbele.

Nyumba hii ipo eneo la Chamanzi Saku Iruru ikiwa ni hatua chache kutoka kwenye eneo la mhe.Suleiman Kova.
inauzwa kwa bei ya Tsh 60millions ikiwa imekamilika, na kama utainunua ikiwa kama ilivyo kwa sasa basi bei yake itakuwa ni Tsh 46millions.
Ndugu mteja, bei zetu zote zinapungua kabisa, pia umeme pamoja na maji vyote vipo kwenye eneo la nyumba hii. Karibuni sana.  
Kwa maoni/maswali/ushauri tupigie simu kupitia Tigo: 0659 91 9292 

NYUMBA YA VYUMBA 3, NK, INAUZWA CHAMANZI DOVYA KWA MZARA, BONYEZA HAPA KUJUA BEI YAKE

Ndugu mteja, Nyumba hii inapatikana maeneo ya Chamanzi Dovya kwa Mzara. Kwa gari ni 10dk kwa speed ya 30kmp/hr.
Nyumba hii inavyumba 3 na kila chumba kina choo chake ndani, ina seating room1, Dining room1, jiko1, pamoja na store 1.
Nyumba hii inauzwa Tsh. 46millions ikiwa imekamilika, yaani itakuwa ina Fensi, Umeme, Milango, Madirisha na itakuwa imewekewa sakafu ya chini.
Ila Kama utainunua kama ilivyo kwa sasa basi Bei yake itakuwa ni Tsh 28million tu.
Kuona ilipojengwa nyumba hii tafadhali                       {{BONYEZA HAPA}} 
Maji pamoja na umeme vyote vipo katika eneo hili ambapo nyumba hii ilipo.
KUMBUKA: Bei zetu zote zinapungua kabisa. Kwa maoni/maswali/ushauri tupigie simu kupitia Tigo: 0659 91 9292 

FOR SALE: ENEO LA HEKARI MOJA NA FREMS 10 LINAUZWA, KUJUA ZAIDI BOFYA HAPA

Izi picha zinaonesha majengo ya frems 10 ambazo zimejengwa ndani ya eneo lenye ukubwa wa hekari moja.

Frems izi zinauzwa pamoja na eneo linalo zizunguka ambalo lina ukubwa wa hekari moja.
Bei ya frems hizi pamoja na eneo lote ilo la hekari moja ni Tsh 150millions, ila maongezi yapo kwa mteja ambaye yuko tayari kununua.
Eneo hili pamoja na frems zake linapatikana maeneo ya Vikindu wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.
Tuwasiliane kupitia 0659 91 9292 naitwa Mutalemwa, karibu sana kununua.
style mbalimbali za muonekano wa frems izi zinazouzwa. 
Huu ni muonekano wa mbele wa frems izi 
Pindi wakati hazijaezekwa, pia muonekano wa nyama wa frems izi.
Frems izi ziko karibu na barabara kama jinsi zinavyo onekana hapo juu.
Hii ndio barabara inayopira kwenye frems izi
Huu ni muonekano wa nyama wa frems izi
Kama inavyo onekana hapo kwenye picha, eneo lililozungushiwa vipimo ndio linalouzwa pamoja na frems zake. 
Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top