Yafuatayo ni mambo ambayo yanaweza kusababisha mkojo kuwa na harufu mbaya hasa wakati wa asubuhi na mara nyigine muda wowote ndani ya siku.
1. Upungufu wa maji mwilini, pale kiwango unachotumia kinapokuwa kikubwa kuliko kiwango cha maji unachokunywa na uambatana na maumivu ya kichwa na uchovu.
2. U.T.I saa zingine maambukizi katika mirija ya mkojo, kibofu na figo.
3. Ugonjwa wa kisukari, ambao husababisha kuongezeka kwa tindikali katika mkojo.
4. Fisitula inayotokana na kuunganika kwa kibofu na utumbo mdogo(Rectao-urethral fistula)
5. Magonjwa ya zinaa na saratani pia navyo ni moja ya chanzo cha tatizo hili.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.