Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Kutoka CHETA KAZOLE kwenda VIKINDU GETINI ni 6.749Km Pekee.

Ukweli ni kwamba kutoka Vikindu Getini kwenda kijiji cha Kazole sio mbali, ni wastani wa 6.749Km au 7Km pekee kutoka Vikindu getini hadi Kazole kwenye kitongoji cha Cheta.

Ila panaonekana kuwa mbali kutokana na ubovu wa miundombinu iliyopo ikiwemo ubovu wa barabara, ukosefu wa umeme, hospital/ Zahanati nk.

 Leo naomba niupongeze uongozi wa kijiji cha Kazole kwa kuchonga Barabara yenye urefu wa wastani wa 4Km kutoka Kazole Magenge 20 hadi kitongoji cha Cheta. 

Zoezi ili lilianza juzi tarehe 21/2/18 na kumalizika jana tarehe 22/2/18.
 Kuchonga na kufunika Mashimo kwenye baadhi ya maeneo ya barabara hii kutasaidi kwa namna moja au nyingine kwa Magari yanayotoa huduma kwa abiria kutoka Vikindu mpaka Magodani. 
Maoni yangu nikwamba mmefanya vizuri kuchonga hii barabara lakini mnaonaje ikawekwa kifusi au Changarawe ili kuifanya iwe imara zaidi ili kuwaondolea adha ya usafiri wakazi wa Kazole, Cheta na Magodani kwa kipindi cha mvua kinacho karibia kuanza mwezi ujao? 

ZOTE KUNTU MIXING SIKILIZA NA DOWNLOAD KUPITIA HAPA

Leo ikiwa ni siku ya juma pili nimatumaini yangu kuwa wote mko wazima kabisa na wenye afya njema, pia nitoe pole kwa wote ambao hamko vizuri kiafya kwa siku ya leo.

kama ilivyo kawaida yetu kwamba kila siku za weekend Mutalemwa Blog kwa kushirikiana na Tazama Line waga tuna waletea burudani ya kufa mtu kwa mda mchache, sasa kwa siku ya leo tunakuletea Ngoma kari ambazo zimekuwa mixed na dj mkali kutoka Tanzania dj... nathani umeisha mjua bhana.
Zote kuntu ni mixing ambayo inacheza kwa mda wa dakika 45 tu ambazo utaweza kuburudika vya kutosha ukiwa unasikiliza na washkaji zako pamoja na shemeji/msela wako ni mixer kama mko club vile kumbe mko/uko home au sio.

Kuanza kuisikiliza mixing hii ya zote kuntu kwa hisani ya Tazama Line na Mutalemwa Blog tafadhali >> Bofya hapa/Click here << endelea kuwa nasi.

MUTALEMWA BLOG WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2015

The way you know that today is 1/01/2015. My name is Mutalemwa O.Juvenary, the owner of Mutalemwa Blog. So i wold like to take this chance to wish you a happy new year 2015 and thank you for your corporations, God will continue to bless us.


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    
In order you follow me just click one of the Icon Button above.

ALLEN ONESMO JUVENARY HAPPY BIRTHDAY TO YOU MY SON

My name is Allen Onesmo Juvenary. I was bone on 21/01/2014 at Mbagara Kizuiani Round Table Dar es salaamu Tanzania. 

On the photo above I with my mother Matembe Vaileth Lukasi.


Here i with my gland mother Domitina Kokwemage Juvenary, whom bone my father Mutalemwa Onesmo Juvenary. And my Gland father who bone my father is Mwesiga Juvenary William. 


The photo above i with my father Mutalemwa Onesmo Juvenary, and Mwesiga is my local name, but official name I'm using Allen Onesmo Juvenary.

Father and mother

The following is my father younger brother, Edimundi Lugeiyamu juvenary, Deodatusi Lugakingila juvenary and Piasoni Lugabandana juvenary. But all are not shown on the photo.




Here i with my glad mother Zawadi Sospiter Mapuga, who bone my mother.




This is my glad father Mwesiga Juvenary William, who bone my father.



My mother's name is Matembe Vaileth Lukasi. And Glad mother who bone my mother is Zawadi Sospiter Mapuga, also my Glad father who bone my mother is Lukasi Michael Nguluba, whom are shown on the photo above. 




Also Happiness are the name of my mother which given by glad mother whom bone my mother, so my mother she have two local names, one is Matembe, and second is Happiness.


This is my photoes video, which show all events since from the day of my birth up to eight monthlies. The following is my videos please watch it from here.

VIDEO1 >> VIDEO2 >> VIDEO3 >> VIDEO4 >> VIDEO5 >> VIDEO6  


SHUKRANI ZETU_OUR THANKS TO YOU.

Leo ikiwa ni siku nyingine tena, siku nzuri na yenye furaha tele. Mutalemwa Blog inapenda kuchukua fulsa hii kuwashukuru nyote mlio tumia mda wenu kusoma habari zilizo chapishwa na blog hii pendwa.

 Napia Mutalemwa Blog inapenda kuwashukuru wale wote ambao mmetumia mda wenu ku-like, ku-share, au kutoa comment nzuri na zenye kuelimisha jamii kwenye habari ambazo zimeweza kukufikia kwa siku hii ya leo kupitia Mutalemwa Blog http://mutalemwa-masgider.blogspot.com (nawashukuru sana). Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
        FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI

===================================================
Today is a beautiful day, Mutalemwa Blog we would like to take this chance to say thanks for all people, whom are taking their time to read our news post from in our blog news media.

Also Mutalemwa Blog, we would like to say thank you for all visitors from in and outside of my country, for supporting me.
Last thanks for all whom are likes,sharing and comment in my news post from Mutalemwa Blog http://mutalemwa-masgider.blogspot.com (Thanks a lot).


You can follow us on the following links below
   FACEBOOK >>> TWITTER  >>> EVENTS THROUGH THE SOUND

SHUKRANI ZA KIPEKEE KWAKO.

Salamu zangu kwako, ewe ambaye tunaenda bega kwa bega na kuakikisha kila kitu kinakuwa sawa kabisa.

Kwajina naitwa Mutalemwa Onesmo Juvenary William Byenjoju.
Mimi ndio mmiliki wa blog inayoitwa
http://mutalemwa-masgider.blogspot.com

ikiwa leo ni siku ya alihamisi, napenda kuwashukuru watu wote ambao wameniunga mkono katika sana hii ya kutoa habari kwa njia ya blog. Napia nitoe shukrani za dhati kabisa kwako wewe msomaji wa habari zangu, kwa sababu bila ya wewe mimi nisinge fika hapa maari nilipo sasa.

ila nawaombeni LIKE zenu kwenye blog yangu hii ya http://mutalemwa-masgider.blogspot.com ili iweze kufanya vizuri zaidi.

Mwisho kabisa naomba msamaha kwa yeyote yule ambaye nilimkosea kwa namna moja au nyingine ndani ya mwaka jana. Naomba nisamehewe kwa makosa niliyo tenda iwe nikwa mtu mmoja mmoja au kundi la watu wengi.
Ni hayo tu kwa siku ya leo, ila naomba nimalize kwa kusema kwamba nawapenda sana.
Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top