Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Kutoka CHETA KAZOLE kwenda VIKINDU GETINI ni 6.749Km Pekee.

Ukweli ni kwamba kutoka Vikindu Getini kwenda kijiji cha Kazole sio mbali, ni wastani wa 6.749Km au 7Km pekee kutoka Vikindu getini hadi Kazole kwenye kitongoji cha Cheta.

Ila panaonekana kuwa mbali kutokana na ubovu wa miundombinu iliyopo ikiwemo ubovu wa barabara, ukosefu wa umeme, hospital/ Zahanati nk.

 Leo naomba niupongeze uongozi wa kijiji cha Kazole kwa kuchonga Barabara yenye urefu wa wastani wa 4Km kutoka Kazole Magenge 20 hadi kitongoji cha Cheta. 

Zoezi ili lilianza juzi tarehe 21/2/18 na kumalizika jana tarehe 22/2/18.
 Kuchonga na kufunika Mashimo kwenye baadhi ya maeneo ya barabara hii kutasaidi kwa namna moja au nyingine kwa Magari yanayotoa huduma kwa abiria kutoka Vikindu mpaka Magodani. 
Maoni yangu nikwamba mmefanya vizuri kuchonga hii barabara lakini mnaonaje ikawekwa kifusi au Changarawe ili kuifanya iwe imara zaidi ili kuwaondolea adha ya usafiri wakazi wa Kazole, Cheta na Magodani kwa kipindi cha mvua kinacho karibia kuanza mwezi ujao? 

KAMPUNI YA DANGOTE YATANGAZA BEI YA CEMENT YAKE KWA NCHI NZIMA, ZAIDI BOFYA HAPA

Kampuni ya saruji ya Dangote imetangaza bei ya saruji yake kuwa itakuwa Sh 10,000 popote, ikiwa ni punguzo. Imesema punguzo hilo linalenga kuongeza ushindani kwenye soko la bidhaa hiyo nchini na kuwezesha watanzania wengi kununua saruji.

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, SadaLadan-Baki, alisema bei ya saruji yao aina ya 32.5R itauzwa bei hiyo ya Sh 10,000 kwa mfuko wa kilo 50; na saruji ya 42.5R itauzwa Sh 10,500 kwa mfuko wa kilo 50 kutoka kiwandani mpaka popote itakapouzwa, ikiwemo jijini Dar es Salaam, ambako bidhaa hiyo inapatikana.

Hatua hii imetajwa kuwa inafanya saruji ya Dangote kuwa ya bei nafuu kuliko nyingine, ambazo zinauzwa kati ya Sh 12,500 na Sh 14,000 jijini Dar es Salaam.Sada alisema hatua hiyo itasaidia maendeleo ya miundombinu na kutilia mkazo mpango wa taifa wa kukabili tatizo la makazi nchini kutokana na takwimu kuonesha hapa nchini upo uhaba wa nyumba milioni tatu.

“Tunatambua uhitaji mkubwa wa miundo mbinu bora, na moja ya njia ya kulikabili tatizo hili ni kumfanya kila mtanzania kuweza kuwa na uwezo wa kununua rasilimali za ujenzi kwa kuweka bei mbadala kwa kila Mtanzania,” alisema Sada.

Uongozi huo wa kampuni ulisema bei hiyo elekezi kati ya Sh 10,000 na 10,500 imelenga jijini Dar es Salaam, ambako ndiko kitovu cha biashara, kinachoangaliwa na wafanyabiashara kutoka maeneo mbalimbali.

HUU NI MSINGI WA NYUMBA YA KISASA UKIWA UMEKAMILIKA

Sasa hii ndio hatua ya mwisho kabisa baada ya kumaliza kujenga msingi wako, kwa kfuata hatua zote muhimu ambazo zinatakiwa katika ujenzi. Tazama video yake sasa hapo chini.


Waweza kushare video hii kwa ndugu jamaa na marafiki zako wopte wapendao kujua mambo ya ujenzi wa nyumba za kisasa.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.

MSINGI WA NYUMBA UKIFANYIWA FINISHING YA MWISHO


Kipindi cha kufanya finishing ya msingi wa nyumba yako nimuhimu sana kuongeza nguvu ya usimamiaji, maana ukilegeza tu nguvu sehemu iyo jua kabisa waweza kuwa na msingi ambao hauko level moja. Tazama video yake hapo chini sasa.


Washilikishe na wenzako juu ya kipindi hiki cha ujenzi, au waweza kushare habari hii kwa ndugu jamaa na marafiki zako.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.

UMWAGAJI WA ZEGE KWENYE MSINGI WA NYUMBA YA KISASA

Ukisikia zege waga halilali ndicho kipindi hiki sasa, hapa ni moja ya mafundi wakijaribu kulikoroga zege kwa ajili ya kuweza kuweka mkanda katika ujenzi wa msingi wa nyumba ya kisasa. Tazama video yake hapo chini na ujionee mwenyewe sasa kazi ilivyo ngumu.


Share kwa ndugu jamaa na marafiki zako wote kama kweli wewe unapenda kufuatilia mambo ya ujenzi wa nyumba za kisasa.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.

AKIKISHA MSINGI WA NYUMBA YAKO UNACHIMBWA VIZURI

 Wakati wa ujenzi wa nyumba yako jitaidi sana umpate fundi ambaye ni mwelewa wa mambo ya ujenzi kiundani zaidi, maana usipofanya ivo jua kabisa utakuwa umejielekeza kwenye njia ambayo si sahihi kabisa kulingana na plan yako uliyokuwa umeiplan hapo mwanzoni.


Tazama video hii hapo juu ikionesha upimaji wa msingi pamoja na uchimbaji wake kwa ujumla wake.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.

HATUA YA KUANZA KUJENGA MSINGI WA NYUMBA YA KISASA


Baada ya kumaliza kupima msingi wako, hatua inayofuata waga ni kuuchimba msingi huo, kisha baada ya kumaliza kuchimba waga hatua inayofuata ni kuanza kuujenga, sasa hapa tazama video ikionesha namna mafundi wanavyo anza kujenga msingi huu wa nyumba ya kisasa.


Sambaza habari hii kwa ndugu jamaa na marafiki zako sasa ili nawao waweze kujifunza kitu.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.

HII NI HATUA YA KWANZA YA UFYATUAJI WA TOFARI ZA UJENZI

Siku zote katika swala la ujenzi wa nyumba, unatakiwa kuwa vitu kama ifuatavyo ili kuweza kukamilisha malengo yako unayokuwa umeya-plan tokea hapo mwanzoni kabisa.

2. Eneo ambalo utaweza kujenga nyumba yako.

1. pesa ambayo itakuwezesha kununua eneo au kiwanja kwa lugha nyingine.

3. Baada ya kununua eneo lako utalazimika kuliandaa eneo hilo kabla ya ujenzi.

4. Ukisha maliza kuandaa eneo lako unakuwa ukidaiwa mchanga wa kujengea.

5. Cement sasa ndio mada inayokuwa inafuata katika hatua hii ya ujenzi wa nyumba.
6. Wakati wa kuanza ujenzi maji ni moja zana zinazohitajika sana kiukweli.

Tazama video mafundi wakifyatua tofari za ujenzi wa nyumba ya kisasa.


7. Baada ya kumaliza kununua mchanga, hapa waga kuna njia mbili ambazo waweza kufuata moja wapo ambapo (a) waweza kukodi mashine na mafundi wakakufyatulia tofari kiasi unacho kitaka au (b) waweza kununua tofari kiasi unachokitaka kutoka kwa wauzaji wa tofari za kisasa.


Tofari za kujengea nyumba zikiwa zikotayari kwa ajiri ya ujenzi sasa.

8. Kama kweli unataka kujenga nyumba ambayo ni imara na yenye kudumu kwa mda mrefu, basi kokoto nilazima zitumike katika ujenzi wa nyumba yako.

 9. Katika ujenzi wa nyumba ambayo ni imara nayenye kudumu kwa mda mrefu zaidi, nondo lazima zitumike kwa kiwango kikubwa zaidi. Kwa leo nitaishia hapa katika hatua ya kwanza ya ufyatuaji wa tofari za ujenzi, endelea kutembelea Mutalemwa Blog,Kila wiki nitakuwa nikikuletea habari  juu ya ujenzi wa nyumba.


  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    


In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top