Siku zote katika swala la ujenzi wa nyumba, unatakiwa kuwa vitu kama ifuatavyo ili kuweza kukamilisha malengo yako unayokuwa umeya-plan tokea hapo mwanzoni kabisa.
2. Eneo ambalo utaweza kujenga nyumba yako.
1. pesa ambayo itakuwezesha kununua eneo au kiwanja kwa lugha nyingine.
3. Baada ya kununua eneo lako utalazimika kuliandaa eneo hilo kabla ya ujenzi.
4. Ukisha maliza kuandaa eneo lako unakuwa ukidaiwa mchanga wa kujengea.
5. Cement sasa ndio mada inayokuwa inafuata katika hatua hii ya ujenzi wa nyumba.
6. Wakati wa kuanza ujenzi maji ni moja zana zinazohitajika sana kiukweli.
Tazama video mafundi wakifyatua tofari za ujenzi wa nyumba ya kisasa.
7. Baada ya kumaliza kununua mchanga, hapa waga kuna njia mbili ambazo waweza kufuata moja wapo ambapo (a) waweza kukodi mashine na mafundi wakakufyatulia tofari kiasi unacho kitaka au (b) waweza kununua tofari kiasi unachokitaka kutoka kwa wauzaji wa tofari za kisasa.
Tofari za kujengea nyumba zikiwa zikotayari kwa ajiri ya ujenzi sasa.
8. Kama kweli unataka kujenga nyumba ambayo ni imara na yenye kudumu kwa mda mrefu, basi kokoto nilazima zitumike katika ujenzi wa nyumba yako.
9. Katika ujenzi wa nyumba ambayo ni imara nayenye kudumu kwa mda mrefu zaidi, nondo lazima zitumike kwa kiwango kikubwa zaidi. Kwa leo nitaishia hapa katika hatua ya kwanza ya ufyatuaji wa tofari za ujenzi, endelea kutembelea Mutalemwa Blog,Kila wiki nitakuwa nikikuletea habari juu ya ujenzi wa nyumba.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.