Featured

    Featured Posts

Loading...

AMEPOTEA: NICKSON REMWELI RWECHUNGURA AMEPOTEA, BOFYA HAPA KUJUA ZAIDI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Mtoto Nickson Remweli Rwechungura kama anavyo onekana kwenye picha hapo chini amepotea, nyumbani kwao ni Pugu karibu jirani na kwa Pinanda au kwa mjeshi, jijini Dar es Salaam. 

Mtoto huyu alipotea tangu siku ya jana majira ya saa mbili usiku. Kwa yeyote atakaye muona atoe taarifa kituo cha polisi kilicho karibu naye au anaweza kupiga simu kupitia Tigo namba 0719 109 880. Endelea kuwanasi tukujuze zaidi. 


Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top