Featured

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI WA ANGA WA MISRI SHERIF FATHY ATOA TAARIFA JUU YA NDEGE ILIYOPOTEA LEO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Waziri wa anga wa Misri Sherif Fathy amethibitisha kuwa ndege ya EgyptAir 804 iliyopotea asubuhi ya leo ikiwa na abiria 56 na wafanyakazi 10 

imepata ajali  na juhudi za kuitafuta ndege hiyo zinaendelea huku  chanzo cha ajali hiyo kikiwa hakijulikani kama ni hitilafu za kiufundi au ni shambulizi la kigaidi.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top