Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

KUANZIA MWAKANI SUKARI ITAKUWA NI HISTORIA, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Waziri  Mkuu, KASIM MAJALIWA amesema Serikali imejipanga vyema ili tatizo la upungufu wa sukari ambao umelikabili Taifa kwa sasa liwe historia kuanzia mwakani .

Amesema kwa kuanzia ta yari wamejitokeza wawekezaji kadhaa kutaka kuwekeza katika kilimo cha miwa.


Waziri Mkuu amesema hayo bungeni  Mjini   Dodoma wakati akijibu maswali kwa Waziri Mkuu alipotakiwa na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni FREEMAN MBOWE kuelezea ni lini sukari ya ziada itawasili nchini kuziba pengo lililopo.

Waziri Mkuu amesema mpango wa Serikali wa kuruhusu uwekezaji katika kilimo cha miwa katika Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani upo katika hatihati kufuatia moja kati ya kamati za bunge kusema kuwa siyo vyema eneo hilo kutumika kwa kilimo cha miwa na uz alishaji wa sukari.

Amesema hali hiyo inatokana na kiwanda cha sukari kuhitaji maji mengi ambayo yangetoka Mto Wami  wakati   maji hayo   hayo yanatakiwa pia kutumika katika mbuga ya wanyama ya Saadani  ambapo kipaumbele imeshauriwa iwe mbuga ya wanyama na viwanda kujengwa sehemu nyingine.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top