Featured

    Featured Posts

Loading...

MACHINGA COMPLEX SIO TENA KITUO CHA DALADALA ZA MBAGALA, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Habari za leo ndugu wasomaji na wapenzi wa blog hii pendwa ya Mutalemwa Blog, tunapenda kuwatangazia watu wote hasa wakazi wa jijini Dar es Salaam kwamba

Kuanzia siku ya jana tarehe 18 mchana, kituo kilichokuwa kikitumika kushusha abiria wa Mbagala cha Machinga Complex kitatumika kwa ajili tu ya magari ya abiria wa Kigamboni to Kariakoo.

Na magari ya abiria wa Mbagala, mtoni yatakuwa yakitumia kituo kipya cha kariakoo police karibu na kituo cha mradi wa magari ya mwendo kasi BRT pale gerezani kariakoo.

Kwaiyo abiria wa Mbagala na viunga vyake hakuna tena aja ya kwenda machinga complex kusubilia magari ya kwenda Mbagala. 

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top