Featured

    Featured Posts

Loading...

WATUHUMIWA 20 MBARONI KWA MAUAJI YA VIKONGWE, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linawashikilia watuhumiwa 20 wanaojihusisha na matukio ya ukataji mapanga sambamba na hilo pia linawashikilia waganga 6 ambao wanatuhumiwa kupiga ramli chinganishi na kuagua watuhumiwa wa ukataji mapanga kwa kuwapa dawa za kienyeji ili wasiweze kubainika.

Akizungumza na ITV Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Simiyu Kamshina Msaidizi wa polisi Onesimo Lyanga amesema watuhumiwa hao wamekamatwa kutokana na kukithiri kwa matukio ya ukataji mapanga katika mkoa huo.

Aidha katika tukio jingine Kamanda Lyanga amesema jeshi hilo limefanikiwa kupata bunduki moja ya kivita aina ya SMG ikiwa na risasi 20 ambayo ilisalimishwa na watu wasiofahamika nyumbani kwa mwenyekiti wa kijiji cha Longalobogo wilayani itilima.

Kufuatia kukamatwa kwa watuhumiwa hao kamanda huyo ametoa wito kwa wananchi wa mkoa wa Simiyu kuendelea kutoa taarifa kwa jeshi hilo pale wanapoona kuna matukio ya uharifu ili mkoa uweze kuwa salama.

Nao baadhi ya wananchi wa mkoa huo wamelipongeza Jeshi la Polisi kwa jitihada wanazofanya za kupambana na uharifu ambapo wameahidi kutoa ushirikiano kwa jeshi hilo.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top