Featured

    Featured Posts

Loading...

YANGA YAICHAPA SIMBA 2-0, WAFUNGAJI WAKO HAPA CHINI BOFYA PICHA KUWAJUA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Mechi kati ya Simba na Yanga imemalizika na matokeo ni kwamba Yanga imepata magori mawili ambayo yamefungwa na Ngoma Donald pamoja na Hamis Tambwe.

Simba wao wameambulia 0 ila huo ndio mchezo kwenye mashindano lazima apatikane mshindi mmoja tu!, Endelea kuwanasi tukujuze zaidi kupitia hapa hapa kwenye Mutalemwa Blog. 

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top