Featured

    Featured Posts

Loading...

MADHARA YA UGONJWA ZIKA KWA MTOTO AKIWA TUMBONI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Madhara ya zika kwa mtoto akiwa tumboni

Kutokana na watoto wachanga wanaozaliwa kuwa na Madhara ya ZIka.
Nchi ya Elsalvado imezuia mwanamke yoyote kupata mimba kwa muda wa miaka miwili hadi 2018.

Pamoja na hayo Kisheria nchi hiyo hairuhusu kutoa mimba.

Ikumbukwe pia ni mataifa sita tu duniani yanayozuia kutoa mimba katika mazingira yoyote hata kwa maana ya kumuokoa ni Holy See, Malta, Dominican Republic, El Salvador, Nicaragua and Chile.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top