Featured

    Featured Posts

Loading...

ROLI LA MIZIGO LAIANGUKIA DALADALA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Gari kubwa la mizigo lenye namba za usajili T 493 BDR, limeangukia gari la abilia (Daladala )leo nyakati za asubuhi.

Gari la abiria lilikuwa na namba za usajili wa T 104 BCT, gari hilo linafanya safari zake kati Gongo la Mboto to simu 2000 (Ubungo mawasiliano).

Katika ajali hiyo hakuna abilia aliyepoteza maisha zaidi tu ya baadhi ya abilia kujeruhiwa pia hata hao walio jeruhiwa wamewaisha hospitalini.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top