Featured

    Featured Posts

Loading...

KUNA TAARIFA INASAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII IKIDAI IYUNGA TEC SCHOOL IMEUNGUA MOTO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Taarifa yenyewe inasema hivi, KWA WALE WENYE NDUGU AU JAMAA, SHULE YA IYUNGA TEC YA JIJINI MBEYA INAUNGUA SANA YANI SAIZ NA WANAFUNZI WANALIA BALAA, 

MOTO UMEPAMBA KARIBIA BWENI LOTE, FIRE MPAKA SAIZ NDO WAMEFIKA!!! UKISIKIA TANGAZO ILI MJULISHE MWINGINE


Jamani kama kuna mtu yuko jirani na eneo hilo tunaomba atupatie taarifa kamili kama habari hii ni ya kweli au si ya kweli.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top