Featured

    Featured Posts

Loading...

JESHI LA POLISI LATANGAZA OPERESHENI MAALUMU DHIDI YA UHALIFU NCHINI, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Jeshi la Polisi latangaza operesheni maalumu dhidi ya uhalifu nchini.

Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na wananchi wenye hasira kali limewauawa majambazi wawili katika tukio la kurushiana risasi walipokuwa wakijaribu kupora fedha shilingi milioni 12 za mfanyabiashara mmoja aliyekuwa akitokea benki eneo la Airport jijini Dar es Salamaa kuchukua fedha hizo.

Akizungumza jijini Dar es Salaam kamishina wa polisi kanda maaluma ya Dar es Salaam Simon Siro amesema mapigani hayo ya polisi na majambazi hayo yalidumu kwa muda kabla ya majambazi hayo hayajauwawa.

Aidha kamanda Siro amesema zaidi ya shilingi bilioni moja zimekusanya kutokana na makosa ya barabarani kwa kipindi cha kwanzia Feb moja hadi sasa huku akitangaza operesheni kali ya kuwasaka wahalifu wote katika meneo ya Mbezi na Kimara.

Katika hatua nyingine baadhi ya wakazi wa jiji wameliomba jeshi la polisi kuongeza umakini hasa katika kulinda maeneo ya mabenki na yale yanayotoa huduma za fedha kwa njia ya imu kwani kwa sasa maeneo hayo yamekuwa yanaongoza kwa kuvamiwa.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top