Featured

    Featured Posts

Loading...

ILE STORY YA MHE. WASSIRA NA MPIGA PICHA WA GAZETI LA MWANANCHI IKO HAPA, BOFYA SASA KUFAHAMU ZAIDI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Moja kati ya stori kubwa za leo nikutoka kwenye Amplifaya ya Clouds Fm ni hii ya mpiga picha wa Gazeti la Mwananchi kwa upande wa Mwanza Michael Jamsoni kutaka kunyang’wanywa kamera na Waziri wa zamani Mheshimiwa Stephen Wassira, ripota wa Mutalemwa Blog amempata Michael Jamsoni na sentensi zake.

‘Yeye alikuwa kwenye haraKati za kunyang’anya kamera na kudelete picha katika harakati za kunirukia na kunikimbiza watu wakatafsiri kama tunapigana au anataka kunipiga lakini naamini kama ningesimama bila kumkwepwa yawezekana tungevaana maungoni;-Michael Jamsoni

‘Hasa aliniuliza kwanini unapiga picha unapeleka mtandao gani? nikamwambia mimi siko mtandao wowote niko Gazeti la Mwananchi na hapa nipo kazini, basi akaniambia futa picha zangu.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top