Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WAFANYAKAZI 50 WANUSURIKA KIFO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Zaidi ya wafanyakazi 50 wa shirika la umeme nchini, Tanesco mkoani Mbeya wamenusurika kifo baada ya vyuma vizito ambavyo vimetumika kutengenezea jukwaa la ujenzi

wa jengo lenye urefu wa ghorofa 11 mali ya mfuko wa taifa ya bima ya afya kuporomoka na kufunika ofisi za Tanesco makao makuu ya mkoa wa Mbeya.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top