Featured

    Featured Posts

Loading...

NIWAJIBU WAKO KAMA KIONGOZI KUTEKELEZA HAYA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Hongereni kwa kumaliza uchaguzi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania salama. Nawapongezeni sana nyote mliopiga kura na kuwachagua viongozi mliowataka.

Kwa wale mliochaguliwa hakikisheni mnatekeleza mambo yafuatayo, pia ni jukumu lenu kusimamia na kuhakikisha kila Mtanzania anapata

1. Haki ya kuishi na  kulindwa maisha yake pamoja na mali zake.
2. Haki ya kutobaguliwa.
3. Haki ya usawa.
4. Haki ya kutoa maoni na kusikilizwa.
5. Haki ya kuabudu.
6. Na watu wote ni sawa mbele ya sheria.

Wewe kiongozi ni vyema kuyazingatia haya maana haya pamoja na mengineyo mengi ndiyo nguzo ya maisha yetu sisi raia unaotuongoza.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top