Featured

    Featured Posts

Loading...

KASSIM MAJALIWA ACHAGULIWA KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Rais wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amependekeza jina la Mh.Kassim Majaliwa Kuwania nafasi ya uwaziri mkuu wa Tanzania

Baada ya hatua zote kufuatwa ndugu Kassim Majaliwa ndiye aliyeibuka mshindi wa nafasi ya kuwa waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. 

jina ambalo limewasilishwa mbele ya Spika wa Bunge na Mpambe wa Rais likiwa limefungwa kwenye bahasha tatu huku Spika Jobu ndugai akisema Rais Magufuli ameandika mapendekezo ya jina la Waziri Mkuu wa Tanzania kwa kutumia kalam na karatasi.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top