Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

ZEC YAFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ZEC Jecha Salum Jecha ametangaza kufuta matokeo ya uchaguzi Zanzibar kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo vyama vya siasa kuingilia majukumu ya tume hiyo ya uchaguzi na kujitangazia ushindi.

Hata hivyo imebainika kuwa kura zilikuwa nyingi kuliko majina yaliyokuwa kwenye dafrtari rasmi la wapiga kura na baadhi ya vituo kuvamiwa.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top