Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MATOKEO YA ZEC HAYAINGILIANI NA YA NEC, BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
MATOKEO YA ZANZIBAR HAYAINGILIANI NA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA- LUBUVA

Lubuva: "NEC inapenda kuwatangazia wananchi kuwa kuhairishwa kwa uchaguzi Zanzibar hakutasababisha kuhairishwa kwa uchaguzi TANZANIA"
Lubuva: " Uchaguzi wa Zanzibar unasimamiwa na ZEC na uchaguzi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzani unasimamiwa na NEC, ni katiba mbili tofauti"


Lubuva: "Uvumi unaoendelea kwamba uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umefutwa ni upotoshaji na si kweli, haujaathiriwa na lolote"
Lubuva: "Tuko hapa muda huu kuendelea na utoaji wa matokeo ya awali kama ambavyo tumekuwa tukifanya"
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top