Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mbunge mteule wa Arumeru Mashariki Bwana.Joshua Nasari ameibuka mshindi
baada ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza matokeo na kuonesha kuwa
ameshinda kwa asilimia 72.6% dhidi ya wapinzani wake.
Akizungumza
baada ya kutangazwa mshindi Bwana.Nasari amesema kuwa ameupokea ushindi
huo kwa kishindo na anawashukuru wana Arumeru kwa kumpa nafasi nyingine
tena ya kuweza kuwatumikia.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.
Share habari hii kadri uwezavyo.