Mgombea ubunge kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema mhe.Joshua Nasary Samwel ameibuka mshindi katika jimbo la Arumeru mashariki mkoani Arusha.
Picha kutoka maktaba.
mheishimiwa huyu ameshinda kwa kupata kura 86,694 sawa na asilimia 72.6% wakati chama cha ACT kikipata kura 622 sawa na asilimia 0.52%, chama cha AFP kikipata kura 236 sawa na asilimia 0.19%
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies