Featured

    Featured Posts

Loading...

VIJANA WAFANYA FUJO JIMBO LA UBUNGO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Ndugu msomaji wetu, mda mfupi uliopita vijana wamekusanyika katika njiapanda ya Ubungo na Chuo kikuuu na kuanza kuzuia magari barabarani.
Vijana hao wanadai kuwa lengo lao ni kushinikiza matokeo ya mgombea wa jimbo la ubungo yatangazwe.

Police wameweza kufika katika eneo hili nakuweza kuwatawanya vijana hao kwa kutumia mabomu ya machozi.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top