Featured

    Featured Posts

Loading...

MTOTO WA DIAMOND PLATNUMS HUYU

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

 T7

Zimeshatimia siku 40 toka mtoto wa Diamond Platnumz na Zarinah Hassan azaliwe, anaitwa Tiffah…. ambapo siku hii kubwa ilikumbukwa na nyumbani k
wa Diamond watu mbalimbali wakaalikwa kama ilivyo kwenye utaratibu.
 T6
Ustaa wa Diamond Platnumz na Zari umeshawishi mpaka kampuni kubwa za kibiashara kuingia mkataba wa malipo kutumia jina na picha za Tiffah kibiashara ambapo mtoto huyu ambaye ndio kwanza katimiza siku 40 za kuzaliwa, tayari ni balozi wa maduka ya nguo za watoto Dar es salaam lakini pia picha yake ya kwanza imeonyeshwa ikiambatana na udhamini wa benki.
t9
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top