Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MAJENGO YA SHULE YANAUZWA ENEO LA PICHA YA NDEGE

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

MAJENGO YA SHULE YANAUZWA ENEO LA PICHA YA NDEGE KISEMVULE MKOA WA PWANI

Majengo ya Shule yanauzwa, majengo ya shule hii yako ndani ya eneo lenye ukubwa wa hekari tatu 3 na robo, 

 Pia shule hii ina wastani wa madarasa kumi 10, ofisi tatu 3 pamoja na eneo la michezo.
muonekano wa jengo la shule hii kwa sasa lilipofikia kiujenzi

 
Shule hii ipo eneo la Picha ya Ndege mkoa wa pwani karibu Kisemvule ikiwa ni 2km kutoka barabara kuu. 
 
barabara inayopita kwenye eneo la shule hii
 
Bei yake  ni Tsh. 200millions maongezi yapo kwa mteja ambaye yuko tayari kununua. 

 
Tuwasiliane sasa kupitia 0659 91 9292

 
Endelea kuwa nasi kupitia Mutalemwa Blog kwa habari muhimu

muonekano wa mbali wa shule hii



Tuwasiliane sasa kupitia 0659 91 9292

NURSERY SCHOOL INAUZWA, BOFYA HAPA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top