Featured

    Featured Posts

Loading...

UZINDUZI WA TWAWEZA SAUTI YA WANANCHI, SOMA ZAIDI HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Twaweza (Taasisi ya utafiti ya kujitegemea) jana wamezindua ripoti ya SautiZaWananchi‬ matokeo ya utafiti kuelekea Uchaguzi mkuu katika viwanja vya Makumbusho ‪‎Uchaguzi2015‬.

Ripoti hiyo inahusisha vyama vyote vitakavyoshiriki Uchaguzi 2015 katika kugombea kiti cha uraisi.


Uzinduzi utafanyika katika ukumbi wa Makumbusho saa nne kamili hadi saa sita kamili. Kila mtu anaruhusiwa kushiriki.
 
Wewe kama mwananchi una maoni gani juu ya Uchaguzi mkuu 2015? Like, share na comment kutoa maoni.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top