Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

NEC MPAKA SASA TUMEANDIKISHA WATANZANIA 21M

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Tume ya Uchaguzi (NEC), imesema imeandikisha zaidi ya watu milioni 21 nchini tangu uandikishaji uanze Februari 23, mwaka huu na kwamba, Dar es Salaam pekee, wameandikishwa watu zaidi ya milioni mbili.

Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji mstaafu Damian Lubuva alisema juzi Dar es Salaam kuwa, uandikishaji wa wapiga kura katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR) unaendelea jijini humo hadi Agosti 8.


Kwa mujibu wa Jaji Lubuva, baada ya siku hizo zilizoongezwa, hakutakuwa na muda mwingine utakaoongezwa.

“Tumieni muda ulioongezwa kujiandikisha, vinginevyo mtaikosa haki yenu ya kupiga kura kwa sababu ya kutoandikishwa katika Daftari la Wapigakura,” Jaji Lubuva alisema.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top