Featured

    Featured Posts

Loading...

HAMIS KIGWANGALLA ALIA NA LOWASSA & MAGUFULI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.


Ni mbunge wa Nzega Dr. Hamisi Kigwangalla ambaye alikua miongoni mwa waliojitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya CCM kuwania Urais wa Tanzania 2015.


Leo August 5 2015 alitumia page yake ya twitter kuyatoa yake ya moyoni kwa kuandika sentensi kadhaa kuhusu CHADEMA na Edward Lowassa kwa kuandika >>> ‘Baada ya safari ya matumaini kufa nimeambiwa Edward Lowassa ameiba jina la safari ya mabadiliko toka kwa Kigwangalla‘‘CHADEMA ilipata umaarufu kwa kupinga ufisadi na kumchafua Lowassa, leo wana kazi ya kumsafisha na kujieleza kuwa wao si wa aina yake,  uchaguzi2015 CCM itaheshimika zaidi, upinzani utapotezwa vibaya sana na utakufa kifo cha aibu #MagufuliMtendaji ‘

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top