Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

HABRI ZILIZO CHUKUA NAFASI ZA JUU MAGAZETINI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Magazeti ya Agosti 4 2015 yako mtaani na vichwa vyake vikubwa vya habari, nimefanya jitihada ya kukusogezea zile zote kubwakubwa zilizoweka vichwa vya habari magazetini leo

Kuna stori kubwa zenye headlines zake mtaani leo, iko inayohusu Prof. Ibrahim Lipumba kuachia ngazi na mgogoro mzito unaotikisa, chanzo Lowassa?.. Zanzibar imesema haitotambua umoja wa UKAWA na maamuzi ya kutambua umoja huo ni ya Tanzania Bara na sio yao.

Dk. John Magufuli kuliteka jiji kwa kuchukua fomu ya Urais leo ataongozana na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan kwenye ofisi za NEC.

 NEWS
CHADEMA yamuweka pembeni Dk. Wilbroad Slaa, wameamua kumpumzisha kwa muda baada ya kutoafikiana na maamuzi ya Chama kumkaribisha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.

ADC yaanza mchakato wa kumpata mgombea Urais wa mwaka 2015, leo ikiwa ni siku ya mwisho ya watu kujiandikisha idadi wapiga kura Mil 2.6 waandikishwa kupiga kura na BVR  Dar, hii ni aslimia 94%.

Rushwa yamtia kichefuchefu Rais Jakaya Kikwete, Mzee Peter Kisumo afariki dunia jana saa moja usiku kwenye Hospitali ya Muhimbili, kifo chake kimesababishwa na maradhi ya figo.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top