Featured

    Featured Posts

Loading...

WABUNGE KUJILIPA MILLIONI 230 JE HII NDIO HAKI SAWA?

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Masikini mwananchi Wa Tanzania. Wabunge wa Bunge lako tukufu tena wa Vyama vyote wamepitisha kimya kimya Muswaada wa kujilipa Tsh. 230 Millioni kila mmoja.

Pesa hizo ukizidisha Mara idadi ya Wabunge wote ambao idadi yao ni 357 utapata Tsh. Billion 83. Ambapo kila mbunge mmoja atapata jumla ya Tsh. 12 Millioni kwa mwezi.

Ukizidisha kwa Mwaka mzima kila mbunge mmoja atapata Tsh. 120 Million, na ukizidisha kwa miaka 5 ya ubunge kila mbunge anakuwa amelipwa hela zako za kodi ambazo ni sawa na Tsh. 830 Millioni.

Sasa ukizidisha Millioni 830 x Wabunge 357 utapata Trillions 3, wakati Bajeti yetu ya Taifa ni Trillions 22 kwa lugh'a lahisi ni kwamba 2% ya Bajeti yetu ni kuwalipa Wabunge dhuluma ambayo haijawahi kutokea toka Mungu alipoumba Dunia.

Deni la Taifa  mpaka sasa ni Trillions 35 ambazo ukigawanya kwa wananchi ambao ni Millioni 44 kila mmoja anakuwa na deni la Tsh. 800,000

Mwaka 2005 deni la taifa lilikuwa Trillions 10 tu halafu kwa miezi 6 iliyopita Ikulu imetumia Tsh. Billion 150 kwa ajili ya safari za Rais tu. Je viongozi mnatupeleka wapi??
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top