Featured

    Featured Posts

Loading...

MAKUNDI YASIYO NA TIJA UCHANGIA KUHARIBU MAISHA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amekiri kuwa makundi huwa yanaharibu  watu walio kwenye ndoa kwa kuwalaghai kwamba wakaonje  nje kwa lengo  la kuangalia radha nyingine hali amabayo wakati  mwingine  mawazo hayo humjia lakini ghafla huhisi kaama mumewe atamuona na kuhatarisha ndoa yake.

Akizungimza na Tanuru la Filamu , Davina alisema  kwamba alipata wakati  mgumu wakati wakuigiza  filamu ya SHANTA inayotarajiwa kuingia sokoni  wiki hii ambayo alicheza kama mke wa mtu  ambaye  alichepiuka na mwanaume  na wakati anatoka gesti  akafumaniwa na mumewe.

“ Kweli wakati mwingine  mawazo kama haya huwa yanakuja  unaposikiliza  stori za wanawake  wachepukaji lakini huwa nafikiri nifanye hivyo kwa kukosa nini kwa mume wangu? Kutokana na msimamo huo nilipata tabu kuigiza filamu ya SHANTA ambapo  niliigiza kama  nimemsaliti mume  wangu  na kweli kwenye filamu hiyo nilifumaniwa , inakera sana wanandoa kusalitiana,” alisema staa huyo.

Davina alisema filamu hoyo itasambazwa na kampuni ya 5 Effects Movies Ltd na anaamini itawafundisha watu wengi ambao wamekuwa wakishindwa kutulia  kwenye ndoa zao ambapo  mwisho wa siku  huambulia kuambukizana magonjwa

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top