Featured

    Featured Posts

Loading...

HABARI ZA MIKOANI NA MUTALEMWA BLOG LEO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Basi la AL-SAEDY lenye namba za usajili T 468 CAV lililokuwa likitokea Dar es Salaam na kuelekea Dodoma likiwa na idadi ya abiria 65, jana majira ya saa 12:30 jioni gari hilo liliacha  njia kuu na  likaingia hotelini maeneo ya Gairo na abiria wote kupata futari  kisha wakaendelea na safari.

Sio kila siku taarifa za ajali tu! Unashangaa nini? ramadhani kareem. Ndugu waislam wote. Endelea kutembelea Mutalemwa Blog kwa habari za uhakika kabisa pamoja na ucheshi kidogo.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top