Featured

    Featured Posts

Loading...

MHE.MBATIA ALIVYO MKALIBISHA LOWASSA UKAWA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Headlines baada ya headlines kuhusu siasa Tanzania zina uzito mpya kila siku… Imeandikwa sana Magazetini kuhusu Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa kuhama CCM, kilichoteka headlines July 27 2015 kimeongezea uzito kwenye ishu hiyo.

Viongozi wa Vyama vya UKAWA, Emmanuel Makaidi, Prof. Lipumba, Freeman Mbowe na James Mbatia wamekutana Makao Makuu ya CUF Buguruni Dar na kutoa majibu kuhusu kumpokea Edward Lowassa.

“Uchaguzi wa October 2015 ni fursa ya kipekee ya kuleta mabadiliko katika nchi yetu kuondoa ukandamizi uliojikita CCM… Watanzania wanahitaji Mabadiliko yenye fikra mpya na bunifu kwa maslahi ya Watanzania wote“>>> James Mbatia.

“UKAWA tunahitaji Viongozi wenyeimage sifa, uwezo na weledi katika kulinda, kuheshimu na kusimamia rasilimali za Taifa kwa maslahi ya Taifa.. Nachukua fursa hii kumualika Mheshimiwa Lowassa ajiunge na UKAWA na tuko tayari kushirikiana nae kuiondoa CCM madarakani” >>>> James Mbatia.
Bado Mbunge Edward Lowassa hajajibu chochote kuhusu kuendelea na CCM au kuhama,

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top