Featured

    Featured Posts

Loading...

EDWARD LOWASSA KUJIUNGA NA UKAWA MDA WOWOTE

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Magazeti ya Tanzania July 28 2015 na headlines zake kubwakubwa yako mtaani, hapa ninazo chache kwenye zile zilizobebwa leo na kuchambuliwa Redioni.

Edward Lowassa rasmi UKAWA, muda wowote kutangazwa mgombea Urais huku akipewa nafasi ya kujiunga na CHADEMA.
Serikali imekanusha taarifa iliyochapishwa na moja ya Magazeti kuwa Rais JK ni miongoni mwa Marais 5 wanaoongoza kwa kulipwa misharaha mikubwa Afrika.
 bbyy
Wabunge 2 wawili viti maalum CHADEMA wahama Chama hicho kwa madai kuwa hawana nia ya dhati ya kupambana na Ufisadi, yuko Chiku Abwao aliyehamia ACT Wazalendo na Leticia Nyerere aliyeamua kurudi CCM.

Prof. Jay aibuka mshindi CHADEMA kwenye kura za maoni katika jimbo la Mikumi, michango ya Kampeni za kujinadi kwenye majimbo mbalimbali CCM zawaliza wagombea baada ya baadhi ya wagombea hao kudai kuwa michango hiyo ni mikubwa

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top