Featured

    Featured Posts

Loading...

KAMA WEWE NI MWANA MBEYA MJINI SOMA HABARI HII

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Hatimae Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Joseph Mbilinyi almaarufu Sugu amepata mpinzani aliyetangaza nia leo ya kuwania kiti hicho ndani ya Chama hicho.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mara baada ya kuchukuwa fomu ya Ubunge katika Ofisi za chama hicho Wilaya ya Mbeya mjini,Mwandishi wa habari Mkongwe na mwakilishi wa kampuni ya magazeti ya Free Media mkoani mbeya,Christopher Nyenyembe amesema endapo atapata ridhaa ya kupeperusha bendera ya Chadema atakuwa jirani na wananchi kusikiliza vipaumbele na kuahidi kuvitekeleza kwa asilimia 100.

Bw. Nyenyembe ambaye amewahi kuwania nafasi ya Ubunge jimbo la Mbeya mjini katika uchaguzi mkuu mwaka 2010 na kushika nafasi ya tatu kwa tiketi ya Chadema akitanguliwa na Mh.Sugu na kufuatiwa na Mponzi ametaja kipaumbele cha pili ni kuwasemea wanahabari wote mkoani Mbeya.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top