Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

PANYA AZUA KIZAA ZAA NDANI YA MSIKITI, SOMA ZAIDI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Imeelezwa kuwa panya ndiye aliyekuwa chanzo cha tukio la waumini wanawake kukanyagana kwenye msikiti mmoja katika mji wa Casablanca nchini Morocco na kusababisha watu 80 kujeruhiwa.

Maafisa wa nchi hiyo wamesema waumini waliokua msikitini walizimia baada ya panya kukatiza kwenye mguu wa mwanamke mmoja aliyekuwa anaswali, na kulazimika kukimbia nje na kusababisha hofu kwa wengine.

Tukio hilo la kukimbia na kukanyagana katika msikiti wa Hassan II, lilitokea jumatatu usiku wakati waumini wakiendelea na swala katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top