Featured

    Featured Posts

Loading...

KAMA WEWE NI MTEJA WA DAWASCO HABARI HII INAKUHUSU SANA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

SHIRIKA LA MAJI SAFI NA MAJITAKA DAR-ES-SALAAM (DAWASCO),  LINAWATANGAZIA  WAKAZI WA JIJI LA DAR-ES-SALAAM NA MJI WA BAGAMOYO MKOANI PWANI  KUWA, UTARATIBU WA KUPATA BILI KWA MTEJA UMEBADILIKA KUTOKA “SPOT BILL” KWENDA “SPOT SMS” KUANZIA  JULAI 2015.

UTARATIBU HUU UNAMAANISHA KUWA MTEJA ATAKUWA AKIPATIWA BILL YAKE YA MATUMIZI YA MAJI KILA MWEZI KUPITIA SIMU YAKE YA MKONONI, NA UTALENGA WATEJA WA MAJUMBANI TU NA HAUTAHUSISHA KAMPUNI NA TAASISI ZA SERIKALI.

FAIDA ZA UTARATIBU HUU NI PAMOJA NA :
1. KUBORESHA HUDUMA KWA MTEJA NA KUONGEZA MAWASILIANO YA MOJA KWA MOJA KATI YA SHIRIKA NA MTEJA
2. MAENDELEO YA TECKNOLOJIA YANAKOPELEKEA UMUHIMU WA HUDUMA HII
3. KUONGEZA WIGO WA ULIPAJI KWA MTEJA
4. KUPUNGUZA GHARAMA ZA UTARATIBU WA AWALI

NAMNA MTEJA ANAWEZA KUJISAJILI KUPATA HUDUMA HII KUPITIA NJIA ZIFUATAZO

1. TOVUTI YA SHIRIKA www.dawasco.com
2. KUMPA MSOMA MITA WA DAWASCO TAARIFA ZAKO
3. KUFIKA OFISI YOYOTE YA DAWASCO ILIYO KARIBU NAWE

EWE MTEJA, TOA NAMBA YAKO YA SIMU ILIYO SAHIHI ILI KUPATA BILI YAKO KILA MWEZI NA KUEPUKA USUMBUFU WA KUKATIWA HUDUMA HII .
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA HUDUMA KWA WATEJA NAMBA 022- 2194800 AU 0658-198889       

IMETOLEWA NA OFISI YA UHUSIANO
DAWASCO-MAKAO MAKUU
“DAWASCO MBELE KWA MBELE”

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top