Featured

    Featured Posts

Loading...

IJUE NDEGE INAYOTUMIA NGUVU YA MWANGA WA JUA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Dunia na teknolojia yake, kila siku kuna mapya kwa hiyo hatutoacha kushangazwa nayo kila yanapojitokeza.

Nikufahamishe kwamba hii ndege inaitwa ‘Solar Impulse 2′, inatumia mwanga wa jua tu kuzalisha nguvu ya umeme ambayo inaifanya iruke.

solar
Hii ina umbile ambalo ni sawa na ukubwa wa ndege ya Boeing 747, lakini uzito wake ni wa kawaida kama gari kubwa.

Mpango walionao ni kuirusha kutoka Abu Dhabi na itazunguka dunia nzima mtu wangu kwa kutumia nguvu hiyo hiyo inayotokana na mwanga wa jua.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top