Featured

    Featured Posts

Loading...

UTAMBULISHO WA NGOMA MPYA KUTOKA KWA MSANII POISON

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mwanamuziki mdogo kabisaa wa Hip Hop toka mkoani Morogoro Poison, safari hii anakuja na ngoma yake mpya aliyoimba na Nay wa Mitego inayoitwa Manzese na Moro town.

Wimbo huo umetaarishwa na maproducer wawili tofauti kutoka kwanza record ya mjini Morogoro Vennt Skillz na MR.T wa Free Nation Records za ya jijini Dar Es Salaam.
Akiongea na blog hii mtayarishaji toka Kwanza Records Vennt amesema wameamua kufanya hivyo ili kureta ladha mbili tofauti za maproducer wawili, waimbaji wawili nastudio mbili za mikoa miwili tofauti.

Wimbo huo unatazamiwa kutachiwa siku ya jumamosi yaleo katika radio zote ndani na nje ya Nchi. Endelea kutembelea Tazama Line pamoja na Mutalemwa Blog kwa habari zaidi. 

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top