Featured

    Featured Posts

Loading...

UJIO MPYA WA MSANII H BABA KATIKA ULIMWENGU WA SOKA TZ

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Msanii wa Bongo Fleva, H Baba ambaye ametangaza rasmi sasa hivi kurudi kwenye soka na kujiunga na timu ya Toto African.

‘Kupitia kwenye kipindi cha AMPLIFAYA cha Clouds FM alifunguka na kusema’Ni kweli kwamba mimi nina vipaji vingi sasa ubora wa vipaji ni kuvionesha kwasababu nilishawahi kucheza soka na hii ni timu ya nyumbani.


Timu nyingi zilishawahi kunihitaji sema muda mwingi sana nilikua kwenye kazi zangu za muziki kwa hiyo kwasasa hivi najipanga kwa mambo mengi wasishangae nikafanya vitu tofauti. Siwezi kuacha muziki siwezi kuacha mpira siwezi kuacha filamu ni vitu vyote ambayo ninavyovipenda.

Na siwezi kuja kuviacha mimi umri wangu bado mdogo unaniruhusu kuingia kwenye soka kwasasa hivi mimi niko Toto African watu wajiandae tu wafahamu kuwa niko Toto ila bado tupo katika harakati kwamba tutakapokaa sawa kuzungumza yakifikia sasa maafikiano ila Yanga na Simba wajiandae.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top