Featured

    Featured Posts

Loading...

HABARI MCHANGANYIKO KUTOKA NJE NA NDANI YA NCHI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Lowassa akoleza joto Urais UKAWA, asubiriwa kujiunga CHADEMA, ACT Wazalendo watamba kusimama kivyaovyao Uchaguzi 2015, CUF yabariki mgombea Urais UKAWA na Obama amaliza ziara yake ya siku 3 nchini Kenya.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC yadai kuwa Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Magufuli anakiuka sheria na kanuni za Uchaguzi Mkuu kwa kuanza kampeni kabla ya wakati.
 
Changamoto za BVR bado zinaendelea kuibuka Dar, lengo la kusajili watu Mil.2 linazidi kutia mashaka baada ya kasoro kadhaa zinazoendelea kujitokeza.

Zitto Kabwe asema kuwa Chama cha ACT Wazalendo kitasimama chenyewe kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu na hakitaungana na UKAWA.


Rais Barack Obama amaliza ziara yake ya Siku 3 nchini Kenya, akumbushia changamoto alizozipata kabla ya kuwa Rais ikiwemo kuibiwa begi Airport ya Jomo Kenyatta.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top