Featured

    Featured Posts

Loading...

CCM SIO MAMA WALA BABA YANGU "ASEMA LOWASSA"

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Ccm sio mama yangu wala baba yangu, naondoka ccm na kujiunga na Chadema, haya ni maneno aliyoyasema Edward Lowassa kwenye utambulisho wake iku ya jana.

Pia amemnukuu Mwl Nyerere kuwa yeye anahitaji mabadiliko na kama mabadiliko hajayapata ndani ya ccm anaenda kuyatafuta nje ya ccm.

Huku akiwaomba wale wote waliomsapoti wamuunge mkono kwa kuhamia Chadema, na kuwahimiza wananchi wajiandikishe ili waweze kufanya mabadiliko ya kweli mwezi October 2015.


kwenye ukurasa wake wa facebook mnamo tarehe 23 jun mwaka huu aliwai kuandika nameno haya

"Nimekuwa mwanaCCM tangu mwaka 1977 nilipomaliza chuo kikuu, sijawahi kufanya kazi nje ya CCM hivyo nakijua chama na hakuna mgombea atakayeweza kuvunja rekodi ya utendaji wangu katika chama, sasa leo anayetaka kukata jina langu anatoka wapi? anakata kwa sababu gani? Sioni kosa la kukatwa jina na Watanzania hawaoni, kwa hiyo msiwe na wasiwasi jina litarudi tu". Edward Lowassa

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top