Featured

    Featured Posts

Loading...

WAZAZI WAUZIWA KADI ZA KLINIKI WILAYANI BUNDA MKOANI MARA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Ahmed Makongo, kutoka  Bunda, Wanawake katika Jimbo la Mwibara wilayani Bunda mkoani Mara, wameilalamikia hatua ya hospitali na vituo vya afya na zahanati za serikali na binafsi kuwauzia kadi za kliniki kwa gharama ya sh. 2,000.

Walitoa malalamiko hayo juzi mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Joshua Mirumbe, ambaye yuko ziarani kuhamasisha shughuli za maendeleo na kukagua ujenzi wa maabara katika sekondari za kata.

Walidai baadhi ya wauguzi wa hospiali, vituo vya afya na zahanati katika jimbo hilo, wanawauzia wajawazito kadi za kliniki na kwamba, vitendo hivyo vimekuwa vikifanyika kwa muda mrefu sasa.
“Hapa wake zetu wakienda kliniki wanauziwa kadi ambazo zinatakiwa zitolewe bure hivyo tunakuomba utuondoshe kero hiyo,” alisema Stephano Sasta.

Kwa upande wake, Mirumbe alisema ataunda tume ya kufuatilia kero hiyo, ambapo alisema kadi za kliniki ni mali ya serikali na zinatolewa bure kwa wahusika wote.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top