Featured

    Featured Posts

Loading...

ALICHOKISEMA MSANII BEXY WAMUSIC JUU YA NGOMA YAKE MPYA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Bexy Wamusic anae tamba kwa sasa na wimbo wake mpya ujulikanao kwa jina la ukisinzia remix  wimbo huu alimshirikisha mwana muziki mkubwa wa hapa nchini Tanzania ambaye ni Diamond platinum pamoja na msanii Qeen darling ft Tessy.


amesema kuwa wimbo huo  alio utoa ni zawadi kwa ajili ya mashabiki wa muziki wa bongo flavour nchini Tanzania si kwa sababu ya kutafuta KIKI  kama  vile baadhi ya watu wanavyosema kwenye media pamoja na mtaani.

Lakini pia Bexy kasema ukali wa msanii Diamond kwenye soko la mziki ndo kitu ambacho kilimsukuma kufanya nae hiyo kolabo na pia akaongeza kusema yakwamba mashabiki wake mkae tayari kwa ujio wa ngoma yake mpya itakayo achiwa mwanzoni mwa mwezi wa saba  ikiwa na video.
Na akamaliza kwa kusema "pia nawashukuru watu wote mlio nisapoti mpaka kufikia sehemu hii niliopo fikia sasa Mungu awabariki sana"
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top