Featured

    Featured Posts

Loading...

CHARLES MAKONGORO NYERERE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Mtoto wa marehemu baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere atangaza nia ya kugombea nafasi ya urais October 25 mwaka huu.

Akiwa nyumbani kwao Butiama hapo siku ya jana Charles Makongoro Nyerere alisema anajitokeza kuwania nafasi ya kiti cha urais kupitia ccm kwa masirahi ya taifa kwa ujumla na sio vinginevyo.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top