Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

TUJIKUMBUSHE KIDOGO ENZI ZA MWALIMU JK. NYERERE

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

1. Idd Amini - Alipoivamia Tz. Mwalimu
alitamka tutampiga nduli. Na kweli Idd Amini alipigwa hadi akaikimbia nchi ya Uganda.

2. Kolimba - Alipotamka kuwa CCM imepoteza Dira na Mwelekeo, Mwalimu alimwita Dodoma
akamuuliza nani kakutuma useme hivyo? na huo Ndio ukawa mwisho wa Kolimba!

3. Samweli Sitta - Alipokuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi UDSM aliongoza mgomo wa wanafunzi wenzake kudai siagi na maziwa!, Mwalimu aliibuka pale chuoni akamuuliza
Samweli Samweli kwenu mnakunywa maziwa
kweli?. Akamwambia lala chini, akamcharaza
bakora na mgomo ukaishia hapo hapo!.


4. Abdul Jumbe! - Alipotaka serikali tatu!,
Nyerere alimuuliza moja kujumlisha moja ni
ngapi?!. Jumbe akajibu ni mbili, Nyerere
akamwambia kama ni mbili mbona unataka
serikali tatu?! Huo ndio ukawa mwisho wa
Abdul Jumbe kuwa Rais wa Zanzibar!.

5. John Samwel Malecela - Ni baada ya taarifa
kuzagaa kuwa amebadili dini na jina ili apate
kuungwa mkono na nchi za kiislamu kugombea Urais mwaka 1995!. Nyerere alimwambia wee John wewe umeenda Arabuni mara moja umebadilisha jina sasa unaitwa Jumanne! Ukienda mara ya pili si utabadilisha kabila?! Huo ukawa mwisho wa ndoto zake kuwa Rais.

6. Edward Lowassa - Alipokodi ndege binafsi
ikampeleka hadi dodoma kwenye vikao vya
mchujo wa wagombea Urais kupitia CCM mwaka1995 alimpa lift Jakaya Kikwete, Nyerere alimuuliza mmekuja na Ndege dodoma pesa mmetoa wapi?! Jina la Lowassa likakatwa kabla ya vikao vya mchujo!.

Natamani Mwalimu Nyerere angekuwepo
Mpaka sasa kwenye uchaguzi wa mwaka 2015
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top