Mkuu wa taasisi ya Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto) akishirikiana na wasimamizi wa mradi wa kompyuta mashuleni Meelis Kuuskler (katikati) pamoja na Julius Giabe kuunganisha kifaa cha kujifunzia masomo kupitia kompyuta katika shule ya sekondari Kinyerezi ya Tabata jijini Dar es Salaam. Mradi huo unaendeshwa na Learning In Sync chini ya Vodacom Foundation.
Msimamizi wa mradi wa kompyuta mashuleni, Meelis Kuuskler (katikati)akiwafafanulia jambo Mkuu wa taasisi ya Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto) na Julius Giabe kuhusu kifaa cha kujifunzia masomo kupitia kompyuta kilichokuwa kinaunganishwa katika shule ya sekondari Kinyerezi ya Tabata jijini Dar es Salaam. Mradi huo unaendeshwa na Learning In Sync chini ya Vodacom Foundation.
Msimamizi wa mradi wa kompyuta mashuleni, Meelis Kuuskler akiunganisha kifaa maalum cha kuchajia kompyuta katika shule ya sekondari Kinyerezi ya Tabata jijini Dar es Salaam. Mradi huo unaendeshwa na Learning In Sync chini ya Vodacom Foundation utakabidhiwa hivi punde.