Featured

    Featured Posts

Loading...

KURA ZAPIGWA JUU YA NDOA ZA JINSIA MOJA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Mwaka 1993 nchi ya Ireland ilikuwa moja ya mwisho mwisho kabisa katika nchi za Ulaya kuhalalisha ishu ya uhusiano wa jinsia moja.

mpaka leo ni miaka 22 imepita, wakati wowote huenda kukatokea headline nyingine kuhusu suala hilo, Bunge liliamua hii ishu washirikishwe watu wao pia na mpaka leo Jumamosi May 23 2015 tutasikia nini kimepitishwa.

Watu wa Ireland wanaendelea kupiga kura leo, kama kura nyingi zikisema YES, basi Katiba ya nchi hiyo itafanyiwa mabadiliko na ishu ya ndoa za watu wenye uhusiano wa jinsia moja zitakuwa zimeruhusiwa rasmi kwenye nchi hiyo!!

Kuna vitu vingi vinaendelea Ulaya, Marekani na nchi nyingine ikiwemo hii ya kuhalalisha ndoa na uhusiano wa jinsia moja, kwa Afrika ni nchi chache zimetoa msimamo.. Uganda ni moja ya nchi ambazo zilikataa kuhalalisha ndoa za aina hiyo.

Ireland VITEKampeni zimeendelea mtaani, migahawani kuna mabango yaliyoandikwa “YES EQUALITY” kuonesha watu kwamba wapo watu ambao wako tayari kuyakubali mabadiliko hayo.

IRELAND-master675
Mpaka sasa hivi ni nchi 19 duniani ambazo zimehalalisha ndoa za jinsia moja, kama majibu ya kura hizo za Ireland yataonesha watu wengi wamekubali basi jumla ya nchi  zitakuwa 20.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top