Featured

    Featured Posts

Loading...

ANGALIZO KWA MNAOTAKA KUGOMBEA OCTOBER 2015

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Ndugu zangu leo napenda kutoa angalizo kwa watu wote wenyenia ya kugombea nafasi mbalimbali kwenye vyama mbalimbali vya siasa.

Uongozi nijambo jema, kwaiyo nivyema ukajiuliza maswali zaidi ya 70 kabla ya kugombea nafasi yeyote ile ndani ya chama chochote kile.

Ushauri wangu kwenu mnaotaka kugombea, watanzania wote tunataka kiongozi bora na sio bora kiongozi,  kwaiyo kama unatafuta nafasi ya uongozi kwa leongo la kujinufaisha wewe pamoja na familia yako ni vyema ukajiengue mapema kwenye list ya watakao gombea 2015

Wananchi tumechoka kuongea na viongozi wasio wasikivu tunachokitaka ndani ya uchaguzi wa mwaka huu ni utendajikazi nasio maneno meengi kuliko utekelezaji wa mipango.

Maendeleo chanya kwa nchi yeyote ile utokana na Serikali safi yenye mipango endelevu na Serikali yenye kusikiliza mawazo ya raia wake.

 Ndugu zangu tusilazimishe vitu pale isipowezekana,  kama wewe ukiona huwezi kufanya yale ambayo watanzania tunataka  nivyema ukafanye mambo yako mengine kuliko kulazimisha nafasi kwakutoa rushwa na mwisho wa siku unatufanyia madudu tu.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top